Mashirika yasio ya kiserikali Tanga yatakiwa kuboresha miradi

Tanga. Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Dadi Kolimba, ameyataka mashirika yasio ya kiserikali wilayani humo kuhakikisha miradi yote ambayo wanaianzisha inaleta manufaa kwenye jamii na kuwa endelevu. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa miradi saba ya maendeleo itakayosimamiwa na Shirika lisilo la kiserikali la Tanga Yetu leo Jumanne Julai Mosi, 2025 jijini Tanga, Kolimba amesema miradi…

Read More

Majimbo yenye ushindani CCM | Mwananchi

Dar es Salaam. Ikiwa imebaki siku moja kukamilika kwa mchakato wa uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania ubunge ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ushindani mkali unatarajiwa kwenye kura za maoni katika baadhi ya majimbo yaliyowakutanisha makada wenye nguvu. Umaarufu, mvuto kwa wananchi na uzoefu wa muda mrefu ni miongoni mwa sifa zitakazowabeba baadhi…

Read More

Walimu, wafanyakazi shule ya CCM watishia kuacha kazi

Mbeya. Hali ya taharuki na sintofahamu imetokea katika Shule ya Sekondari Ivumwe baada ya watumishi zaidi ya 40 kutishia kugoma wakipinga kuondolewa kwa Mkuu wa shule hiyo, Oscar Mwaihabi. Kufuatia mvutano huo, Jeshi la Polisi lilifika shuleni hapo ili kuhakikisha ulinzi na usalama wakati kikao cha Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na…

Read More

Wanafunzi wawili wafariki kwa kufukiwa na kifusi

Dodoma. Wanafunzi wawili wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya Mbalawala jijini Dodoma wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi cha mchanga wakati wakichimba mchanga Mbalawala jijini Dodoma. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CCM wa Kata ya Mbalawala, Athanas Sajilo, waliofariki ni Oscar Richard (19) na Andrea Chibago (19) huku…

Read More

𝗪𝗜𝗭𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗘𝗟𝗜𝗠𝗨 𝗬𝗔𝗧𝗘𝗧𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗜 𝗠𝗣𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗠𝗢𝗡𝗚𝗦𝗖𝗢

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Daniel Mushi, leo tarehe 1 Julai 2025, amekutana na uongozi mpya wa Wamiliki wa Shule na Vyuo Binafsi Tanzania (TAMONGSCO), katika ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma. Uongozi huo umefika kujitambulisha rasmi baada ya kuchaguliwa upya, na pia kuonesha dhamira ya kushirikiana na Serikali…

Read More