Dismas Nsindo ajitosa udiwani Kata ya Buyuni

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dismas Nsindo, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Kuwania Udiwani WA Kata ya Buyuni, wilayani Ilala, mkoani Dar es salaam.

Nsindo ambaye ni mdau wa michezo, amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Kata Buyuni, jijini Dar es Salaam  leo.

Dirisha  la utoajia wa fomu Kwa wanachama ndani ya CCM kuomba kuteuliwa kugombea nafasi za ubunge na udiwani lilifunguliww Juni 28 na litafungwa kesho, huku akishuhudiwa idadi kubwa ya wanachama kujitokeza.

Related Posts