KIKEKE AUTAKA UBUNGE MOSHI VIJIJI

Na Pamela Mollel,Kilimanjaro

Mwandishi wa Habari Mkongwe na Mtangazaji Salim Kikeke amechukua Fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Moshi Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.

Related Posts