
Mashtaka Mazito Yatupiliwa Mbali Kwa Diddy – Global Publishers
Msanii maarufu, Sean “P. Diddy” Combs Msanii maarufu, Sean “P. Diddy” Combs, ameondolewa hatiani kwenye mashtaka mazito ya kuendesha mtandao wa kihalifu na usafirishaji wa binadamu kwa ajili ya ngono. Mahakama ilikosa ushahidi wa kumtia hatiani kwenye tuhuma hizo. Combs, ambaye alikuwa akikabiliwa na mashitaka matano, amepatikana na hatia kwenye makosa mawili…