HABARI njema kwako mteja wa Meridianbet, huu ni mwezi mpya wa 7 ambapo unaeza ukawa na bahati ya kuondoka na simu janja aina ya Samsung A25 ukibashiri mechi zozote kwenye ligi yoyote na kujiweka kwenye nafasi ya ushindi.
Ili kujiweka moja kwa moja kwenye kinyang’anyiro cha kushindani Simu hizo inabidi kwanza uwe umejisajili na Meridianbet na kisha uweke dau lako halafu ucheze kiasi kuanzia shilingi 5000 kila wiki kwenye ligi yoyote ya mpira wa miguu.
Je unajua jinsi ambavyo unacheza mara nyingi ndipo unajiweka kwenye nafasi ya washindi?. Simu aina ya Samsung A25 ipo kwaajili yako sasa mechi nyingi zipo pale Meridianbet unachotakiwa kufanya ni kusuka jamvi la ushindi hapa.
Kwenye promosheni hii ya kubeti online, wale ambao watakuwa wameshinda, yaani washindi watatangazwa kila Ijumaa ambapo ambapo simu mbili zitatolewa kwaajili yao na kukabidhiwa hapo hapo.
Pia mteja anakumbushwa kuwa tiketi ambazo zitakuwa na TURBOCASH zitakuwa batili hazitahesabiwa, hivyo mchezaji akibashiri mechi zake inabidi asubiri mechi zimalizike ndipo tiketi zake zitahesabiwa kwenye watu wanaojishindia Simu.