NEEC WAJA NA FURSA ZA KIUCHUMI KATIKA MAONEHO YA 49 YA KIMATAIFA YA BIASHARA (SABA SABA)

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) linashiriki katika maonesho ya 49 ya kimataifa ya Biashara katika banda la Ofisi ya Waziri Mkuu na watakuwepo hapo kipindi chote cha maonesho ili kuwawezesha Watanzania. Akifafanua hilo Afisa Uwezeshaji kutoka Baraza Bi. Minaeli Kilimba ameeleza kuwa wamekuja kuwaelezea watanzania juu ya Mifuko ya Uezeshaji na namna…

Read More

NG’OMBE 800 NA KUKU 100 ZACHANJWA WILAYANI UVINZA

  Madaktari wa Mifugo wakitekeleza zoezi la uchanjaji Ngombe na Kuku leo Julai 3, 2025 wakazi wa zoezi hilo wilayani Uvinza mkoa wa Kigoma. Na Chiku Makwai– W-MUV- KIGOMA Serikali Kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeendelea na utekelezaji wa Kampeni ya Chanjo na Utambuzi wa Mifugo mkoani Kigoma ambapo Ng’ombe 800 na Kuku 100…

Read More

LAMORY ARENA YAFUNGULIWA RASMI BAADA YA UKARABATI – DC NDILE ATOA WITO KWA MAAFISA BIASHARA.

Songea_Ruvuma. Lamory Arena Sports Bar iliyopo Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma leo Julai 3 2025, imezinduliwa rasmi  baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa uliodumu kwa miezi mitatu, ukilenga kuboresha huduma kwa wateja na wageni mbalimbali wanaotembelea eneo hilo maarufu kwa burudani na chakula. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo Mkuu wa Wilaya ya Songea Kapenjama Ndile,…

Read More

Gamondi karudi Bara, yupo Singida BS mjipange!

KOCHA wa zamani wa Yanga, Miguel Gamondi amerudi rasmi katika Ligi Kuu Bara baada ya kutangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Singida Black Stars. Uongozi wa Singida umemtangaza Gamondi kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho msimu ujao wa 2025/26 na kumbadilishia majukumu David Ouma. Gamondi amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuifundisha timu hiyo, hivyo…

Read More

BILIONI 41.628 KUBORESHA SEKTA YA AFYA KATAVI

:::::: Bilioni 41.628 zimetumika katika uboreshaji wa huduma ya Afya mkoani Katavi ambapo zimejenga majengo , ukarabati na ununuzi wa vifaa tiba . Ametabainisha hayo   leo 3 julai  2025 jijini  Dodoma  na mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hodha Mrindoko wakati akizungumza na waandishi wahabari  katika  kueleza mafanikio ya serikali  ya awamu ya sita inayoongozwa…

Read More

WAZIRI JAFO TUTAENDELEA KULINDA VIWANDA VYA NDANI

  ‎ ‎ Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Selemani Jafo Serikali itaendelea kulinda na kukuza viwanda vya ndani kwa kuweka mazingira wezeshi na rafiki kwa biashara na uwekezaji ili kuongeza ajira, Pato la Taifa na kukuza uchumi Jumuishi kwa wananchi na Taifa kwa ujumla. Aidha, Waziri Jafo ametoa wito kwa Wazalishaji Kundelea kutumia…

Read More