
PPRA Yawahimiza Watanzania Kujisajili NEST Kushiriki Zabuni za Serikali
Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) imewataka Watanzania kujisajili katika mfumo wa manunuzi wa kielektroniki wa NEST ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali za zabuni zinazotolewa na Serikali, hususan zabuni za asilimia 30 zinazolengwa kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Akizungumza leo Julai 5, 2025 katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya…