
WANAOSAFIRISHA MAZAO KINYUME CHA SHERIA KUWAJIBISHWA– COPRA
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv MAMLAKA ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imeonya vikali wafanyabiashara wanaosafirisha mazao ya kilimo bila kusajiliwa, ikibainisha kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Onyo hilo limetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa COPRA, Irene Mlola, leo Julai 6, 2025 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari alipotembelea banda la…