Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Dr. Said Mohammed
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) pamoja na Mitihani ya Ualimu, iliyofanyika mwezi Mei 2025.