
Trump Apendekezwa Kwa Tuzo ya Nobel na Netanyahu – Global Publishers
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemkabidhi Rais wa Marekani Donald Trump barua rasmi ya pendekezo lake la uteuzi kwa Tuzo ya Amani ya Nobel, akimsifu kwa juhudi zake katika kutafuta suluhu za Netanyahu migogoro ya Mashariki ya Kati. Tukio hilo lilijiri jana Jumatatu, wakati wa mkutano wao Ikulu…