Mbosso Abaki Mdomo Wazi Kisa Bonge la Dada! – Global Publishers



Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mbosso Khan

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mbosso Khan, amefunguka na kueleza kuwa haingilii kabisa kazi za mwanadada Queen maarufu kama Bonge la Dada, akisisitiza kuwa Queen amekuwa na kaI nyingi hata kumzidi yeye.

Akizungumzia ushirikiano wao, Mbosso amesema kuwa wimbo wa ‘Aviola’ ni kazi yao ya pamoja na kwamba kila anapomhitaji Queen kwa ajili ya shoo au shughuli yoyote ya muziki, humpa taarifa mapema kutokana na ratiba zake kuwa ngumu.

Tazama video kamili hapa chini


Related Posts