Meneja wa Uhusiano na Eliminate kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Gaudensia Simwanza akielekeza Jambo kwa wananchi mbalimbali waliotembelea katika banda la Mamlaka hiyo kwenye maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Saba Saba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Wananchi mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa Scolastica Afisa Uhusiano wa (TMDA) (PICHA ZOTE NA EMMMANUEL MASSAKA,MMG)