Huko Asia Kusini, anemia inatishia afya ya wanawake na hatima za kiuchumi – maswala ya ulimwengu

Onyo hilo, lililotolewa kwa pamoja na mashirika ya UN na Bloc Saarc ya kiuchumi na kiuchumi Jumatano, inasisitiza hali ya Asia Kusini kama “kitovu cha ulimwengu” cha upungufu wa damu kati ya wasichana na wanawake wa ujana. Inakadiriwa kuwa milioni 259 tayari wanakabiliwa na hali hiyo, ambayo husababisha uwezo wa mwili kubeba oksijeni, inachangia uchovu…

Read More

GG&3+ Kukupatia Mshiko Mechi ya PSG vs Real Madrid

NI siku nyingine tena ya kumtambua nani ataungana na Chelsea kucheza fainali ya kombe la Dunia la vilabu. PSG atakipiga dhidi ya Real Madrid majira ya saa 4:00 usiku huku nafasi ya kushinda pale Meridianbet akipewa Paris kwa ODDS 2.35 kwa 2.90. Bashiri na GG&3+ upate maradufu. Promosheni hii ya kijanja imekujia wakati mzuri kabisa…

Read More

Dawa ya malaria kwa watoto wachanga yaidhinishwa

Dar es Salaam. Baada ya muda mrefu wa kukosekana dawa ya malaria iliyoidhinishwa kwa ajili ya watoto wenye uzito chini ya kilo tano, Kampuni ya Novartis ya Uswisi imetangaza kuidhinishwa kwa dawa ya Coartem (artemether-lumefantrine) Baby kwa ajili yao. Watoto hao walikuwa wakipewa dawa zilizokusudiwa kwa wenye umri mkubwa, hali iliyoongeza hatari ya kuzidisha dozi…

Read More

Rais Mstaafu Kikwete Ateta na Viongozi wa Dunia Jijini London

Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameshiriki katika Mkutano Mkuu wa Afrika ulioandaliwa na Jarida la Uongozi la Afrika (African Leadership Magazine) na Taasisi ya Uongozi wa Afrika (African Leadership Organization) jijini London, Uingereza. Mkutano huo unazungumzia masuala mbalimbali ya Afrika, ikiwemo Uongozi, Uwekezaji na Ushindani wa Kimaendeleo kwa kauli mbiu ya: “Powering Leadership,…

Read More

TBS Yakaribisha Wadau kuthibitisha Ubora wa Mifumo

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wadau mbalimbali kuchangamkia huduma ya uthibitishaji wa mifumo (Syestem Certification) inayotolewa na shirika hilo kwa gharama nafuu. Aidha, shirika hilo limewataka wadau hao kufika kwenye banda la TBS lililopo kwenye Maonesho ya 49 Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Barabara ya Kilwa au…

Read More

‘Amani ya nchi imo mikononi mwa vyombo vya habari’

Dar es Salaam. Wadau wa habari wamesema ili nchi ya Tanzania iendelee kuwa na amani na utulivu, vyombo vya habari vina jukumu la kulinda hali hiyo kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Mwaka huu Tanzania, itafanya uchaguzi mkuu utakaowaweka madarakani Rais, wabunge na madiwani kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Hayo yamesemwa…

Read More

INEC kutangaza ratiba ya uchaguzi mkuu

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele amesema ratiba ya uchaguzi mkuu 2025, wanatarajia kuiweka hadharani kati ya Julai 25 na Julai 26, 2025. Amesema baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutoa hotuba ya kuahirisha shughuli za Bunge la 12, Juni 27, 2025, INEC wameanza…

Read More

Nafasi ya vyombo vya habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Dar es Salaam. Wadau wa habari nchini wameeleza mchango wa vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu, huku wakisisitiza kipimo muhimu cha demokrasia katika nchi yoyote duniani ni nafasi ya uhuru wa vyombo vya habari kufanya kazi bila kuingiliwa. Hata hivyo, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi leo Julai…

Read More