NI siku nyingine tena ya kumtambua nani ataungana na Chelsea kucheza fainali ya kombe la Dunia la vilabu. PSG atakipiga dhidi ya Real Madrid majira ya saa 4:00 usiku huku nafasi ya kushinda pale Meridianbet akipewa Paris kwa ODDS 2.35 kwa 2.90. Bashiri na GG&3+ upate maradufu.
Promosheni hii ya kijanja imekujia wakati mzuri kabisa ambapo mechi za Kombe la Dunia la vilabu zinaendelea. Ukibashiri mtanange huu na chaguo la GG&3+ unajiweka kwenye nafasi nzuri ya kujishindi mpaka bonasi kubwa ya elfu sitini. Je nani kwenda fainali siku ya leo?. Jisajili hapa.
Meridianbet inasema kuwa michezo sio tu burudani, bali ni nafasi ya wewe kujipigia pesa nzuri sana ukibashiri mechi kibao ambazo zinachezwa. Suka jamvi lako mechi hii ya PSG vs Real Madrid huku ukiongeza na zingine ili uwe moja ya wale ambao watajipatia zawadi kibao ikiwemo bonasi.
Mechi hii inaenda kuwa mechi kali sana kwani inamkutanisha bingwa wa Ulaya na bingwa wa Ulaya muda wote ambao ni Real. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni 2022 ambapo Paris walipigika. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi wakiwa na kikosi kizuri kabisa?
Mkwanja upo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
SHERIA ZA PROMOSHENI HII
● Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee
● Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 09 mwezi Julai 2025 hadi saa 4:00 usiku ambapo mechi itaanza
● Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa PSG vs Real Madrid kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,
BONASI YA 1
Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi za PSG vs Real Madrid kwa chaguo la GG&3+ atapata bonasi sawa na dau lake (kiwango cha juu 60000 TZS).
Bonasi hiyo itakuwa na masharti kama ifuatavyo, kwenye mechi ya PSG vs Real Madrid lazima uwe na timu zote zifunge magoli 4+. Hii ndio bonasi ya kwanza ambayo mchezaji ataipata akibashiri mechi hii ya Kombe la Dunia ngazi za vilabu kwa kufuata masharti.
BONASI YA 2
Kama mchezo wa PSG vs Real Madrid ukimalizika 0-0
● Mchezaji atapata marejesho ya bonasi ya 50% ya dau lake hadi (20000) ambapo sharti la bonasi hii ni kuwa timu hizo lazima ziwe zimetoka 0-0.
● Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Beti hapa.