MICHUANO ya kombe la Dunia Ngazi ya Vilabu inazidi kupamba moto ambapo sasa ni hatua ya nusu fainali. Bashiri kwa GG&3+ mechi ya Fluminense dhidi ya Chelsea upate zaidi. Jisajili hapa sasa.
Meridianbet wamekuja na promosheni hii ya kubashiri na GG&3+ ili kuhakikisha kuwa unajaza akaunti yako kwa mkwanja wa maana na mechi hizi za Kombe la Dunia la vilabu. Fluminense inahitaji ushindi mbele ya The Blues ambao nao wanautazama ushindi huu kwa jicho lingine. Je nani kuibuka mbabe leo?
Chelsea chini ya kocha mkuu Enzo Maresca wamefika hatua hii baada ya kumtoa Palmeiras ya Brazil, huku kwa upande wa Fluminense wao wamemtoa Al Hilal huku leo hii kwa wakali wa ubashiri Meridianbet anayepewa nafasi ya kushinda mtanange huu ni vijana wa Darajani kwa ODDS 1.70 kwa 5.80. Suka jamvi lako hapa.
Endapo utabashiri kwa GG&G+ mechi hii unajiweka kwenye nafasi kubwa kabisa ya kujishindi bonasi nzuri kabisa ambayo Meridianbet wanatoa. Ongezea na mechi zako zingine uzipendazo ushinde zaidi.
Mkwanja upo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
SHERIA ZA PROMOSHENI HII
● Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee
● Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 08 mwezi Julai 2025 hadi saa 4:00 usiku ambapo mechi itaanza
● Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa Fluminense vs Chelsea kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,
BONASI YA 1
Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi za Fluminense vs Chelsea kwa chaguo la GG&3+ atapata bonasi sawa na dau lake (kiwango cha juu 60000 TZS).
Bonasi hiyo itakuwa na masharti kama ifuatavyo, kwenye mechi ya Fluminense vs Chelsea lazima uwe na timu zote zifunge magoli 4+. Hii ndio bonasi ya kwanza ambayo mchezaji ataipata akibashiri mechi hii ya Kombe la Dunia ngazi za vilabu kwa kufuata masharti.
Kama mchezo wa Fluminense vs Chelsea ukimalizika 0-0
● Mchezaji atapata marejesho ya bonasi ya 50% ya dau lake hadi (20000) ambapo sharti la bonasi hii ni kuwa timu hizo lazima ziwe zimetoka 0-0.
● Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Bashiri sasa.