Sauti zisizo na wasiwasi juu ya kusimamishwa kwa Ugiriki kwa matumizi ya hifadhi – maswala ya ulimwengu

Hatua hiyo, ambayo inajadiliwa kwa sasa katika Bunge la Uigiriki, ingesimamisha usajili wa hifadhi kwa miezi mitatu na kuruhusu kurudi kwa waliofika wapya bila kukagua madai yao. Inafuatia kuongezeka kwa hivi karibuni kwa kutua kwenye visiwa vya kusini vya Gavdos na Krete. Wakati wa kukubali shida ya kusimamia waliofika, UNHCR Alisema hatua kama hizo lazima…

Read More

MKURUGENZI TFRA ATOA NENO KWA WAZALISHAJI NA WASAMBAZAJI WA MBOLEA

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibi wa Mbolea Tanzania –(TFRA) Joel Laurent  akimsikiliza Mtaalamu kutoka katika Mamlaka hiyo  alipotembelea banda la Mamlalaka hiyo katika maonesho ya biashara ya kimataifa ya sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam leo tar 10/7/2025. Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibi wa Mbolea Tanzania –(TFRA) Joel Laurent (kushoto) akimsikiliza Meneja wa…

Read More

Usiri watawala vikao vya CCM

Dar/ mikoani. Usiri umetawala wa kinachoendelea ndani ya vikao vya Kamati za Siasa za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ngazi ya mikoa vitakavyotoa mapendekezo ya kuwafyeka watiania 3,293 wa ubunge. Kwa mujibu wa taarifa ya karibuni ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla watiania wa nafasi ya ubunge katika majimbo 272…

Read More

Magari 50 ya wanafunzi yazuiliwa kutoa huduma Morogoro

Morogoro. Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limeendelea na kampeni ya ukaguzi wa magari ya shule yanayotumika kusafirisha wanafunzi, ambapo jumla ya magari 50 yamefungiwa baada ya kubainika kuwa katika hali ya ubovu usioruhusu kuendelea na shughuli hizo za usafirishaji. Kampeni hiyo inalenga kuboresha viwango vya usafiri na usafirishaji wa wanafunzi pamoja na kuepusha madhara…

Read More