MWEZI huu wa Julai, wapenzi wa michezo ya mtandaoni wana fursa ya kipekee ya kushinda simu za kisasa za Samsung A25 na kupata pesa nyingi zaidi kwa kushiriki katika promosheni ya Aviator inayotolewa na Meridianbet.
Kuanzia tarehe 1 Julai hadi mwisho wa mwezi, wachezaji watapata nafasi ya kushinda moja kati ya simu nane za Samsung A25 zinazotolewa kila Jumatatu, pamoja na fursa ya kukusanya pesa kwa urahisi kupitia mchezo huu wa kuvutia wa A viator.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Aviator ni moja kati ya michezo maarufu zaidi ya kasino mtandaoni, hasa kwa sababu ya urahisi wake wa kucheza na uwezo wa kutoa matokeo mara moja. Wachezaji huchagua kiasi cha dau, kisha wanatazama ndege inayopaa kwenye skrini. Kadiri ndege inavyoinuka, faida yao inaongezeka, lakini wanapaswa kutoa pesa yao kabla ya ndege “kukimbia.” Kwa hivyo, mchezo huu unahitaji uamuzi wa haraka na uwezo wa kukadiria wakati sahihi wa kujiondoa.
Ili kushiriki katika promosheni hii, wachezaji wanahitaji kujisajili au kuingia kwenye akaunti yao ya Meridianbet. Kisha kuhakikisha wanacheza Aviator kwa kiasi chochote cha dau watakachochagua. Na kwa kufanya hivi basi moja kwa moja wanakua kwenye nafasi kubwa ya ushindi.
Kila Jumatatu, wachezaji wawili watajishindia simu za Samsung A25, hivyo kucheza mara nyingi kunakuongezea nafasi zaidi ya kushinda zawadi hizi za thamani kutoka meridianbet.