
Polisi yamshikilia kigogo wa Chadema, wenyewe wasema…
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Tanzania linamshikilia Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Brenda Rupia kwa mahojiano. Hatua ya kuhojiwa kwake, inatokana na kile kilichoelezwa na taarifa ya jeshi hilo iliyotolewa usiku wa leo Jumamosi, Julai 12, 2025 na Msemaji wa Jeshi hilo kuuwa anatuhumiwa kutoa taarifa za…