
CHELSEA YACHUKUA UBINGWA WA DUNIA KWA VILABU 2025
:::::: Chelsea imetwaa Kombe la Dunia la Vilabu (WCW) baada ya kuichapa PSG mabao 3-0 katika Uwanja wa MetLife, Marekani. Mabao mawili ya Cole Palmer na Joao Pedro yametosha kuipa Chelsea ubingwa huo kwa mara ya pili katika historia yake. Licha ya matokeo kuwa mazuri kwa upande wa Chelsea waliutawala mchezo huo vipindi vyote viwili…