KINARA wa michezo ya kubashiri Tanzania, Meridianbet, anakuletea LOOT Legends, tukio la kusisimua zaidi msimu huu. Huu ni msururu wa mashindano ya wiki 10 kwenye michezo ya sloti, ukitawaliwa na zawadi ya jumla ya zaidi ya pesa taslimu TZS 1.5 bilioni. Fursa hii imeanza tarehe 30 Juni hadi 7 Septemba 2025, na ni kwa wachezaji wa Meridianbet pekee.
Kila wiki, Meridianbet itakuwa na mashindano mapya ya leaderboard na TZS 150 milioni zikitolewa kama zawadi. Mshindi wa juu kila wiki ataondoka na TZS 30 milioni, huku zawadi zaidi ya 10,000 zikitolewa kwa washiriki wengine. Kumbuka, hakuna ushindi wa masharti, Ukishinda, ni pesa yako halali, inatoka papo hapo bila masharti ya kuongeza dau tena.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma. Mbali na LOOT Legends, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Unataka kushiriki? Hii ni rahisi sana, bonyeza “Join Now” ndani ya mchezo husika. Cheza spin ya pesa halisi kuanzia TZS 280, na kila ushindi mkubwa kwenye spin moja utageuzwa kuwa pointi kwenye leaderboard. Ni spin yako bora pekee itakayokupatia nafasi kwenye leaderboard, hivyo ni vizuri kama utacheza mara nyingi ili kupata spin kubwa zaidi.
Kama utashinda, Meridianbet watakutumia taarifa moja kwa moja kupitia pop-up, ambapo utabofya “Claim” ndani ya siku 7 na pesa itaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako ya Meridianbet. Hakuna ucheleweshaji, zawadi zako ni zako tu kuanzia muda ulioshinda.
Michezo iliyopo kwenye LOOT Legends inajumuisha:
12 Masks of Fire Drums
Candy Combo
Arena of Gold: Shields of Glory
Bass Cash X UP
Fire and Roses Joker
333 Boom Banks
Twofold the Gold…na mingine mingi zaidi.
Hii ni nafasi ya kipekee ya kugeuza burudani kuwa biashara. Ikiwa wewe ni mpenzi wa sloti, hii ndiyo promosheni uliokuwa unasubiri. Jisajili sasa kupitia meridianbet.co.tz au pakua app, ingia kwenye michezo ya LOOT Legends, weka spin nzuri na uandike jina lako kwenye historia ya washindi wa Meridianbet.