
Twiga Stars yaaga WAFCON ikipoteza 4-1 dhidi ya Ghana
Twiga Stars imeondolewa kwenye mashindano ya WAFCON 2024 yanayoendelea huko Morocco baada ya kupoteza mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi dhidi ya Ghana kwa mabao 4-1. Bao la Twiga limefungwa na Stumai Abdallah huku mabao ya Ghana yakifungwa na Pricella Adubea, Alice Kusi, Evelyn Badu na Chantelle Boye. Katika mchezo huo Twiga ilitakiwa kupata…