MERIDIANBET imepata bingwa mkali kabisa wa kubashiri ambapo mshindi huyo ameweza kujishindia Zaidi ya Milioni 5 kwenye mechi zake ambazo ameweza kubashiri. ODDS za kibabe zipo hapa.
Mshindi huyo anafahamika kwa jina la Derick Ikula ameweza kujishindi Milioni 5 na zaidi ndani ya Meridianbet kwa dau la elfu moja pekee. Kijana huyu amefurahia sana ushindi huu huku akisema haya ndio yalikuwa malengo yake ya kutusua mshindo mkubwa kwa pesa ndoto.
Kama inavyojulikana kuwa Meridianbet ndio wakali wa odds za kibabe akini si hivyo tuu, bali wana machaguo zaidi ya 1000 ambayo unaweza kuyapata kwenye timu ambazo unazichagua. Hivyo Derick aliamua kuchaguo machaguo kadhaa kwenye mechi zake ambazo zimemfanya aibuke bingwa.
Leo hii unaweza ukacheza michezo ya kasino kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Bingwa huyu alibashiri mechi 14 siku ya Ijumaa ambazo zote zikatiki huku akichanganya mechi za kirafiki, mechi za ligi mbalimbali, mechi za EURO kwa upande wa wanawake na mechi nyingine nyingi.
Machaguo ambayo Derick aliweza kuweka na unaweza ukayapata ndani ya Meridianbet ni kama ifuatavyo, timu ishinde na magoli yaanzie mawili yaani Final Score& Total Goals (1.5), Total Goals 2.5 Over, Goals Combinations I 1+ & II 2+. Hayo ni baadhi ya machaguo ambayo mshindi huyo aliweka.
Mfano wa mechi ambazo alicheza ni kama York City vs Salford City, Evesham United vs Cheltenham Town, Portugal (W) vs Belgium (W), Reynir Sandgerdi vs KV Vesturbaer na nyingine kibao ambazo zilimfanya kuibuka bingwa.
Na wewe mteja wa Meridianbet hii ni nafasi yako ya kujaribu bahati yako sasa. Suka jamvi lako sasa kwani mechi kibao zinaendelea hasa mashindano ya wanawake ya EURO pamoja na CAF. Wakati ndio huu. Jisajili hapa.