Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Day: July 15, 2025

  • Home
  • 2025
  • July
  • 15
Habari

UNDP Yazindua Awamu ya Tatu ya Ufadhili kwa Wanawake Katika Uhandisi wa Nishati

July 15, 2025 Admin

AWAMU ya tatu ya programu ya ufadhili wa masomo ngazi ya shahada ya uzamili katika uhandisi wa nishati imezinduliwa huku ikitarajiwa kutoa ufadhili kwa wanawake

Read More
Habari

Watu milioni 14 hatarini kufa, kisa kusitishwa misaada ya USAID

July 15, 2025 Admin

Dar es Salaam. Nchi 132 ambazo zilikuwa zikinufaika moja kwa moja na ufadhili kutoka kwa Shirika la Misaada la Marekani (USAID), ziko hatarini kupoteza jumla

Read More
Habari

ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO NI URITHI WA DUNIA, TUENDELEE KULITUNZA; DKT. PHILIP MPANGO.

July 15, 2025 Admin

Mwandishi wa NCAA, Arusha. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amesema eneo la Hifadhi ya Ngorongoro ambalo

Read More
Habari

Serikali yawataka walimu kuepuka mikopo inayodidimiza uchumi wao.

July 15, 2025 Admin

Na Pamela Mollel, Arusha. Serikali imewataka walimu kuepuka kuchukua mikopo kwenye taasisi zisizo rasmi ambazo zimekuwa zikididimiza uchumi wao badala ya kuwasaidia. Pia imewataka kuepuka

Read More
Habari

Kujenga utu ni kipaumbele cha taifa thabiti

July 15, 2025 Admin

Tunahitaji viongozi wenye utu, wanaojali utu, wanaotolea maisha yao kwa masilahi ya wote. Tukiwa na utawala unaojali Katiba yetu, sheria na utu wa watu, hakika

Read More
Habari

TIMU YA MKUMBI II YAWASIKILIZA WADAU MWANZA KWA MAONI YA MABORESHO YA UWEKEZAJI

July 15, 2025 Admin

Timu ya Kitaifa ya Wataalam ya kuandaa Mpango wa Pili wa Maboresho ya Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II) ipo mkoani Mwanza kupata maoni

Read More
Habari

Ushirikiano wa NSSF na Mahakama Chachu ya Mafanikio Katika Hifadhi ya Jamii

July 15, 2025 Admin

Na Mwandishi Wetu, SINGIDA Mgeni rasmi katika kikao kazi kati ya Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF),

Read More
Habari

Bado elimu ya watu wazima haieleweki kwa wengi

July 15, 2025 Admin

Wengi wanaojitambulisha kuwa na uhusiano na elimu hii, hukutana na mshangao na maswali kama Elimu ya Watu Wazima bado ipo?”, “Ni nini hasa Elimu ya

Read More
Habari

TBA YAWASHUKURU WANANCHI, YAAHIDI MABORESHO ZAIDI YA HUDUMA

July 15, 2025 Admin

    Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Arch. Daudi Kondoro, ametoa shukrani kwa wananchi wote waliotembelea Banda la TBA katika Maonesho ya

Read More
Michezo

Yanga yampa miwili kiungo Mkenya

July 15, 2025 Admin

UONGOZI wa kiungo Lydia Akoth raia wa Kenya, umesema mchezaji huyo amenunuliwa na Yanga Princess baada ya mkataba wa mkopo wa miezi sita kumalizika. Kiungo

Read More

Posts pagination

1 2 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.