DIRA YA TAIFA 2050 KUZINDULIWA NA RAIS SAMIA SULUHU HASSANI

………….

Na Ester Maile Dodoma 

Rais waTanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajia kuzindua Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2025 – 2050 ijayo huku TANZANIA ikijivujia Ukuaji wa Uchumi kutoka Nchi Masikini hadi Nchi yenye Uchumi wa kati kutoka mwaka 2000 hadi 2025.

Hayo yamebainishwa leo 15 julai 2025 jijini Dodoma na Katibu mtendaji wa tume ya Taifa ya mipango wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kukamilika kwa Dira na kutarajiwa kuzinduliwa .

Watoto wa 2000 ndio msemo mashuhuri wakubainisha hali ya utekelezaji wa Dira hii iliyoanza kutekelezwa tangu mwaka 2000 wakati Dira ya Taifa iliyopita ikizinduliwa

Nikweli Miaka 25 nyuma hali ilikiwa mbaya katika sekta mbalimbali na Tanzania kuitwa nchi Masikini

Hiileo Tanzania ninchi yenye uchumi wakati ikiwa imepiga hatua kubwa kwenye Sekta ya Afya, Elimu, Upatikanaji wa maji, Umeme, moundombinu ya Barabara na Usafirishaji na maendeleo ya watu yakionekana dhahiri.

Related Posts