Kurudishwa kwa Afghanistan ni ‘mtihani wa ubinadamu wetu wa pamoja’ – maswala ya ulimwengu

Roza Otunbayeva, mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Afghanistan, alifanya rufaa wakati wa ziara ya mpaka wa Uislam Qala kuvuka na Iran Jumanne ambapo alishuhudia kuongezeka kwa kila siku kwa makumi ya maelfu ya waliorudi. Alikutana pia na familia za kurudi, washirika wa misaada na kikanda de facto viongozi. Kengele za kengele zinapaswa kupigia “Kile…

Read More

Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi 10

Dodoma. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea na mkakati wake wa kuimarisha utendaji serikalini baada ya kufanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika taasisi na mamlaka za umma. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa usiku wa leo Jumatano Julai 16, 2025 na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu kupitia Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka imewataja…

Read More

NELSON MANDELA YAAZIMISHA WIKI YA UBUNIFU, YATOA WITO KWA JAMII KUWEKEZA KATIKA SAYANSI NA TEKNOLOJIA

Na.Mwandishi Wetu_Arusha  Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) imeadhimisha Wiki ya Ubunifu kwa lengo la kuendeleza maono ya Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini, Hayati Nelson Mandela, aliyetamani bara la Afrika lijitegemee kielimu na kiteknolojia kwa kuzalisha wataalamu wake wa ndani. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maadhimisho hayo Julai 16,2025…

Read More

Hizi hapa mbinu za kitaalamu kuepuka mtego wa kujiua

Dar es Salaam. Wakati matukio ya watu kujiua yakiendelea kutokea kwa kile kinachoelezwa kuwa ni msongo wa mawazo, jamii imetakiwa kutambua kuwa afya ya akili ni tatizo kubwa na watu wasaidiwe kabla ya kufanya maamuzi yasiyo sahihi kama kujiua. Hivi karibuni yameripotiwa matukio mawili ya vijana kujiua mmoja akiwa mfanyabiashara na mwingine daktari wa watoto…

Read More

Rais Dkt. Samia Amefanya Uteuzi wa Viongozi Mbalimbali

Dodoma, 16 Julai, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:- (i) Bw. Omari Juma Mkangama ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Ludewa; (ii) Bw. Juma…

Read More

▪️Serikali kupunguza ada ya kodi ya pango kwa mwaka kwa Leseni ya chumvi ▪️Rais Samia apongezwa kwa kiwanda cha kusafisha chumvi Lindi ▪️Wazalishaji wa chumvi wafurahia kuanza kwa kodi ya zuio ▪️Serikali kudhibiti uingizaji wa chumvi kiholela nchini Dar es Salaam Katika kuwajengea uwezo wazalishaji wa chimvi nchini,Serikali imekuja na mikakati mbalimbali kufikia azma hiyo ikiwemo upunguzaji wa ada ya pango kwa mwaka ya leseni (Annual Rent) za uchimbaji mdogo wa chumvi nchini ili kusaidia kupunguza gharama za uzalishaji na kuchochea uzalishaji wa wingi wa chumvi nchini. Hayo yamesemwa jana tarehe 15 Julai, 2025 na Waziri wa Madini, *Mheshimiwa Anthony Mavunde (Mb)* Jijini Dar es Salaam alipokuwa akifunga Kikao cha wadau wa sekta ndogo ya chumvi chini ya Chama cha Wazalishaji wa Chumvi Tanzania (TASPA). "*Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan* ameendelea kutubeba sekta ya madini na wachimbaji kwa ujumla. Ni yeye aliyetuelekeza kusikilize kilio chenu na kutatua changamoto zinazowakabili ili mnufaike na shughuli mnazofanya" "Ametuelekeza Wizara ya Madini tuliridhie ombi lenu na kupunguza ada ya pango ya mwaka ya leseni ya uchimbaji mdogo kutoka Shilingi 45,000 mpaka Shilingi 20,000 kwa hekta, hili linakwenda kupunguza gharama za uzalishaji na kuongeza ubora wa chumvi ya mzalishaji mdogo" alieleza Mhe. Mavunde. Aidha, Waziri Mavunde alibainisha kuwa hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali ikiwemo udhibiti wa chumvi inayoingizwa kutoka nje ya nchi, zimepelekea bei ya chumvi ghafi kuongezeka na hivyo kuwanufaisha zaidi wazalishaji wadogo wa chumvi nchini. Uanzishwaji wa kodi ya zuio ya asilimia mbili (2%) kwenye mauzo ya chumvi ghafi kwa wazalishaji wenye leseni za PML imekuwa ni neema na manufaa kwao badala ya utaratibu wa awali wa kufanyiwa makadirio ya kodi ya mapato, ambao ulikuwa ni kero kubwa kwa wazalishaji wadogo. Katika hatua nyingine, Mhe. Mavunde alieleza kuwa Kiwanda cha kuzalisha chumvi cha STAMICO kipo hatua za mwisho, na kuagiza Shirika hilo kuhakikisha kabla ya mwezi wa Agosti kuisha kiwe kimekamilika na kuanza uzalishaji wa chumvi ili kupanua wigo wa soko la chumvi ya wazalishaji wadogo. Awali, akitoa taarifa ya utendaji wa Taasisi yao, Mwenyekiti wa Chama cha Wazalishaji wa Chumvi Tanzania (TASPA), Bi. Hawa Ghasia aliishukuru Serikali kwa kushughulikia changamoto zilizokuwa zinaikabili sekta ndogo ya chumvi nchini ambazo zimepelekea bei ya chumvi kupanda na kuwanufaisha zaidi wazalisha chumvi nchini.

▪️Serikali kupunguza ada ya kodi ya pango kwa mwaka kwa Leseni ya chumvi ▪️Rais Samia apongezwa kwa kiwanda cha kusafisha chumvi Lindi ▪️Wazalishaji wa chumvi wafurahia kuanza kwa kodi ya zuio ▪️Serikali kudhibiti uingizaji wa chumvi kiholela nchini Dar es Salaam Katika kuwajengea uwezo wazalishaji wa chimvi nchini,Serikali imekuja na mikakati mbalimbali kufikia azma hiyo…

Reflectors na Helmets Zatolewa Mbezi Beach Africana

IKIWA kama mwendelezo wa kurejesha kwa jamii, leo hii wakali wa ubashiri Meridianbet wamewafikia Dereva Bodaboda wanaopatikana Mbezi Beach Africana na kuweza kuwapatia Reflectors pamoja na Helmets ambazo zitawasaidia kwenye kujikinga na ajali za barabarani hasa nyakati za usiku. Hii imekuwa ni desturi kwa kampuni hii kubwa ya ubashiri Tanzania kuwafikia watu mbalimbali wenye uhitaji…

Read More