
Mshindi wa kwanza wa mashindano ya Qur’an 2024, afariki dunia
Abidjan. Mshindi wa mashindano ya Kimataifa ya Quran Tukufu 2024 Ibrahim Sow (17) raia wa Ivory Coast ameripotiwa kufariki dunia Jumanne Julai 15, 2025 nchini Ivory Coast. Kwa mujibu wa taarifa kutoka tovuti mbalimbali za habari nchini humo zinaeleza kuwa Sow alifariki, baada ya kuugua ghafla ingawa familia haijatoa maelezo rasmi kuhusu chanzo kamili cha…