
MARA YAWEKA HISTORIA SEKTA YA MADINI
:::::::::: Na Ester Maile Dodoma Katika sekta ya madini, Mkoa wa Mara ni kati ya mikoa yenye utajiri mkubwa wa madini ikiwemo dhahabu, fedha, shaba, chuma, madini ya ujenzi, madini ya viwandani na madini ya vito. Madini ya dhahabu ndio yanayochimbwa kwa kiwango kikubwa ukilinganisha na madini mengine. Hayo yamebainishwa leo 18 julai 2025 jijini…