MERIDIANBET wanazidi kumwaga zawadi kwa wateja wao kila kukicha. Hii ya sasa ni funga kazi kabisa. Mtu yeyote anayejisajili na meridianbet kisha kuweka muamala wake na kushiriki kwenye mchezo wowote ule, aidha michezo ya ubashiri ama kasino mtandaoni basi aanajiweka kwenye nafasi kubwa ya kujishindia simu mpya ya kisasa aina ya Samsung A25 mpaka mara tano kama pongezi ya yeye kutumia Meridianbet.
Baada ya kuja na bonus za kutosha kwenye michezo mbalimbali kama Superheli, expanse tournament, Wild White Whale na Aviator sasa nafasi imekuja kwako uliyekosa zawadi kwenye michezo hiyo ambapo sasa kwa kufanya kitu chepesi kama kuweka dau na kucheza mchezo wowote basi upo kwenye nafas kubwa ya ushindi. Meridianbet haimuachi nyuma mtu yeyote kwa sasa.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Bonus hii imekuja na urahisi wa kushiriki kwani unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha umejisajili na meridianbet kupitia tovuti ama application yao ya simu kisha weka dau lako na ucheze. Unavyozidi kucheza zaidi ndivyo unavyozidi kujiakikishia nafasi ya kushinda. Droo ya kutoa zawadi hizi za simu itafanyika tarehe 01-08-2025 na washindi watatangazwa siku hiyohiyo.
Promosheni hii iliyoanza tarehe 01-07-2025 inatarajiwa kuendelea kwa kipindi cha mwezi mzima na itatamatika tarehe 31-07-2025. Tiket za mfumo “system tickets” pamoja na zile za cash out hazitohesabiwa wakati wa droo, ni tiketi za kawaida pekee zitakazozingatiwa kwenye promosheni hii kali kabisa kutoka meridianbet.
Jisajili sasa na meridianbet kisha cheza michezo mbalimbali kwenye jukwaa hili la michezo ya kubashiri mara nyingi uwezavyo na uweze kuibuka bingwa wa simu kali na za kisasa aina ya Samsung A25.