Kocha mpya Yanga anataka bao tano!

VIONGOZI wa Yanga wamepanga Jumapili hii kuanza msimu mpya kwa kutambulisha benchi jipya la ufundi kisha kutangaza mastaa waliopewa ‘thank you’ na kumalizia wapya waliosajiliwa kabla ya timu kuanza kambi. Lakini Kocha mpya anayetajwa kumalizana na timu hiyo, Romain Folz amezungumza kitu cha…

Read More

Simba SC yamfuata straika Cameroon

KUNA mazungumzo yanafanyika baina ya viongozi wa Simba na mshambuliaji wa klabu maarufu ya Coton Sport FC de Garoua tayari kuvaa uzi mwekundu msimu ujao. Mwanaspoti limepata taarifa kutoka chanzo cha ndani cha klabu hiyo, kuhusu uwepo wa mazungumzo ya John Bosco Nchindo…

Read More