Kwa upande wao, baadhi ya madereva wa bodaboda walioshiriki kampeni hiyo walieleza kuwa wamepata elimu ya kutosha kuhusu usalama barabarani, na wameahidi kuwa mabalozi wa elimu hiyo kwa wenzao ili kuongeza ufanisi na usalama katika kazi zao za kila siku.