ZIMBWE ATOA THANK YOU SIMBA SC

ALIYEKUWA Nahodha Klabu ya Simba Mohammed Hussein ameachana na timu yake mara baada ya kuwaaga kupitia mitandao yake ya kijamii ambapo mkataba wake na wekundi wa msimbazi kufika tamati mwezi Juni mwaka huu.

Zimbwe mpaka sasa yupo huru kutafuta changamoto katika timu yoyote ambayo watafikia makubaliano.

Tetesi zinasemekana anahitajika na wanajangwani kwaajili ya kuwatumikia.