
UDOM yasitisha kozi tisa za elimu ya ualimu
Dodoma. Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kimesisitisha udahili wa programu tisa za shahada ya kwanza ya elimu ya ualimu katika mwaka wa masomo wa 2025/2026. Kwa mujibu wa tangazo la chuo hicho lililowekwa mitandaoni , chuo hicho hakitopokea maombi ya udahili katika shahada za elimu ya ualimu katika sayansi, saikolojia, biashara, sanaa, sayansi ya taaluma…