
Offen Chikola ni Mwananchi | Mwanaspoti
YANGA kumtangaza kiungo mshambuliaji Offen Chikola aliyesaini miaka miwili ni suala la muda tu, kwani ipo hatua ya mwisho kukamilisha vitu vilivyokuwa vimesalia. Yanga imemsajili Chikola akitokea Tabora United na ilizishinda Simba, Azam FC na Namungo ambazo zilikuwa zinawania saini yake, mchezaji huyo msimu uliyoisha alimaliza na mabao saba na asisti mbili. Chanzo cha ndani…