Helabet: Kampuni bora ya ubashiri Tanzania

Kuna kampuni nyingi za ubashiri ambazo zinatoa huduma Tanznaia, lakini ni kampuni moja pkee ambayo inaaminika kwa asilimia 100. Hii ndiyo maana Helabet inaamini kuwa ni

Helabet ina leseni kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania

Helabet ni kampuni inayofanya kazi kisheria Tanzania na imesajiliwa na kupewa leseni na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (Toleo la mwaka 2019) na inashirikiana na kampuni ya Cheza IT Solution Limited ambayo ina tovuti bora yenye leseni halali (SBI).

Hili pekee linakupa sababu ya kuichagua Helabet kwa ajili ya michezo ya kubashiri. Kama inavyofahamika kufanya biashara ya michezo ya kubashiri kinyume na sheria kunaweza kusababisha adhabu ya faina ya Sh 500,000 au kifungo cha mwaka mmoja.

 Mwongozo wa lugha ya Kiswahili

Asilimia 90 ya Watanzania wanatumia Kiswahili katika shughuli zao kila siku. Helabet imeliheshimu hilo na ndiyo maana imeweka chaguo la lugha ya Kiswahili kwenye mwongozo wake ili kila mtanzania aweze kufurahia ubashiri wake. Kampuni nyingi za ubashiri hawalichukulii kwa umakini suala hili, hivyo kushinda kluweka chaguo la lugha.

Helabet inawawezesha Watanzania kupata faida za ubashiri kwa kuwapa odds za viwango vya juu kwa kila mchezo anaochagua. Hili linafanyika kupitia;

  • Kupunguza mzigo kwa wabashiri. Wakati kampuni nyingine zinaweka asilimia 10 katika kila ubashiri, Helabet inaweka asilimia 5 mpaka 6.
  • Uchambuzi wa kisasa kupitia mashine. Hii inawaruhusu wabashiri kuchagua odds zenye faida kubwa zaidi ya washindani wao.
  • Ubora katika utendaji. Kupunguza gharama kunawezesha upatikanaji wa odds bora
  1. Uwepo wa machaguo mengi ya soko la ubashiri

Mbali na machaguo ya bashiri yalizoeleka na wengi kama vile; 1X2, Double Chance au Totals, Helabet inakupa machaguo mengine mengi ambayo wakti mwengine yanafikia zaidi ya 200 kutegemea na mchezo unaobashiri. Mbali na hilo, pia kuna machguoa mengine kwa mchezo husika kama vile muda wa goli la kwanza, vipindi vyote viwili kwa wanaobashiri mechi za mpira wa miguu. Kwa chaguo lolote linalotumika kwenye ubashiri, Helabet wanalo.

  1. Michezo ya kubashiri zaidi ya 3000

Helabet ina michezo yote maarufu ya ubashiri katika kila mashindano kama vile Ligi Kuu ya England, NBA pamoja na ligi kubwa za mchezo wa cricket. Lakini wabashiri wanaweza kuchagua mashindano ya michezo mingine ambayo haifahamiki sana pamoja na michezo ya mtandaoni kama Counter-Strike 2, Dota 2 na FIFA. Helabet wana kila mchezo wa kubashiri ambao ni maarufu duniani.

  1. Mifumo ya malipo ya kitanzania

Kwa sababu Helabet inafanya shughuli zake kisheria, inaruhusu ushirikiano na kampuni za huduma za malipo nchini kamka vile; M-Pesa, Airtel Money, Mix by Yas na nyingine. Hii inafanya masuala ya malipo kuwa rahisi zaidi mana wabashiri hawahitajiki kuwa na akaunti za benki au kadi za malipo. Wabashiri wanaweza kuweka na kutoa fedha bila tozo za miamala.

  1. App ya Halobet inapatikana kwenye iOS na Android

Helabet inatambua utamaduni wa Watanzania kupendelea kubashiri kwa kutumia simu za mkononi ama kompyuta, hii inakwenda mbali zaidi ya kuweka tovuti bali kuwa na programu maalumu (App) inayopatikana kwenye mfumo wa iOS na Android

  1. Mfumo rahisi na rafiki wa kubashiri

Helabet imefanya ubunifu mkubwa katika mifumo yake ya kubashiri ikiwemo, tovuti yake pamoja App. Hii haitokani na kuajiri wabunifu wazuri pekee, bali pia kuzingatia matakwa ya makundi yanayobashiri. Hivyo basi kila kitu ambacho wabashiri wanakihitiji katika ubashiri wao kwenye mifumo wa Halobet basi kampuni hiyo imekiweka mahali panapohitajika ili kuongeza urahisi kwa mtumiaji, hivyo kufanya upatikanaji wa taarifa za michezo kuwa rahisi.

Helabet inatoa bonsai bora ya usajili ambayo ni asilimia 100 ya kiwango utakachoweka kwa mara ya kwanza. Mbali na hili, kampuni hiyo pia inatoa bonsai ya asilimia 25 kwa kila kiwango utakachoweka katika muda wa kila baada ya masaa 24. Bonasi nyingine zinahusisha kurudushiwa asilimia fulani ya bashiri zako zilizopotea kila wiki, pamoja na ubashiri wa bure kwa walipotoze bashiri zaidi ya 20.

Wabashiri pia wanaweza kupata bonsai za ziada kutokana na matukio mbalimbali kama vile kushehereka siku ya kuzaliwa au matukio mengine ya kidunia kulingana na kiwango cha fedha ulichoweka.

Tofauti na kampuni nyingine ambazo zinahitaji taarifa nyingi wakati wa kujisajili, kwa kutumia Helabet unaweza kujisajili ndani ya dakika moja kupitia namba za siku, mtandao wa kijamii au E-mail. Hivyo mbashiri anaweza kuanza mara moja ubashuri wake mara baada tu ya kukamilisha tararatibu za usajili

Lakini ushahidi kama Helabet ni  tovuti bora ya kuweka madau Tanzania na Afrika ni idadi ya watumiaji wa kampuni hiyo ambayo imeongezeka kutoka 400,000 hadi zaidi ya 1,000,000 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja na wabashiri wanaweka dau sehemu ambayo inawajali na kujali maslahi ya fedha zao. Je? uko tayari kujisajili.