Halima Kaisi ni Mtanzania aliyejipata kwenye hali ngumu nchini India baada ya kushawishiwa na mwanaume aliyekuwa mpenzi wake kwamba angemtafutia kazi, lakini baadaye alimtelekeza na kumuacha apambane mwenyewe.
Kwa sasa, Halima anaumwa na amedhoofika sana. Madaktari wamethibitisha kuwa ana matatizo ya figo, hali inayomlazimu kupata matibabu ya haraka. Anapitia kipindi kigumu, akiwa mbali na familia, bila msaada wa kutosha.
Tunaomba Watanzania wenye kuguswa na hali yake kumsaidia kwa chochote ili aweze kupata matibabu na kurejea katika hali yake ya kawaida.
Unaweza kutuma msaada kupitia:
📞 Namba ya Simu (Tigo Pesa/M-Pesa/Airtel Money):
0750 202 017 – Joan Machibya
🏦 Akaunti ya Benki (CRDB):
Account Number: 0152287095300
Jina: Joan Machibya