Majaliwa Akutana Na Waziri Mkuu Wa Belarus – Global Publishers

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa alivyopokelewa na Waziri Mkuu wa Belarus WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Belarus, Alexander Turchin na kujadiliana naye masuala ya uwekezaji, biashara, nishati, madini, elimu, afya, teknolojia na kilimo kwenye kikao kilichofanyika leo (Jumanne, Julai 22, 2025) ofisini kwa mwenyeji wake, mtaa wa Sovetskaya, jijini Minsk. Katika mazungumzo…

Read More

Stein Warriors yashangaza BDL | Mwanaspoti

ABC iliona joto la kufungwa katika Ligi ya kikapu Dar es Salaam (BDL), baada ya kuchapwa na Stein Warriors kwa pointi 74-50. Mchezo huo uliokuwa mkali na kusisimua, ulipigwa Jumapili usiku katika Uwanja wa Donbosco, Upanga.  ABC iliyokuwa haijapoteza mchezo wowote kwa michezo saba iliyocheza, katika mchezo wa nane ulikuwa ndiyo mchezo wake wa kwanza…

Read More

Camara bado yupo Simba | Mwanaspoti

BAADA ya tetesi na sintofahamu juu ya hatma yake msimu ujao, kipa namba moja wa kikosi cha Simba, Moussa Camara inadaiwa hivi karibuni atamalizana na mabosi wa timu hiyo kwa kusaini mkataba wa kuendelea kusalia kwenye timu hiyo. Camara ambaye alitua Simba mwanzoni mwa msimu wa 2024-2025, amekuwa kipa chaguo la kwanza kwenye kikosi cha…

Read More

Guterres ya UN inatangaza enzi ya mafuta ya kufifia; Press Mataifa ya Mipango Mpya ya Hali ya Hewa kabla ya Mkutano wa COP30 – Maswala ya Ulimwenguni

Katika a Anwani maalum Katika makao makuu ya UN huko New York, Bwana Guterres alitaja uwekezaji safi wa nishati safi na kugharimu gharama za jua na upepo ambazo sasa zinazidisha mafuta ya mafuta. “Mpito wa nishati hauwezekani, lakini mpito bado haujatosha kutosha au ni sawa,“Alisema. Hotuba, Wakati wa fursa: Kuongeza umri wa nishati safi –…

Read More

Mkude apata chimbo jipya Ligi Kuu

BAADA ya kuitumikia Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Simba, inaelezwa kiungo mkabaji Jonas Mkude anaungana na aliyekuwa kocha wake, Miguel Gamodi. Mkude ni sehemu ya nyota waliomaliza mkataba Yanga ulipomalizika msimu wa 2024-2025 huku chanzo cha kuaminika kutoka Singida Black Stars kikiliambia Mwanaspoti kiungo huyo atakuwa sehemu ya kikosi chao msimu ujao. Akizungumza…

Read More

Simba ina vyuma vitatu, hivi hapa!

MABOSI wa Simba wanaendelea kufanya usajili wa mastaa wapya kimya kimya, huku tetesi zikisema hivi sasa imefikia makubaliano kamili ya kumsajili kiungo wa kati raia wa Senegal, Alassane Kante (24) kutoka CA Bizertin ya Tunisia, huku kocha wa kikosi hicho Fadlu Davids akiwa kwenye mazungumzo na viungo wengine wawili. Msenegali huyo ambaye ameitumikia CA Bizertin…

Read More