……………………
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 25,2025 ametembelea ubalozi wa Tanzania, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) uliopo Abudhabi.
Mheshimiwa Majaliwa alipokelewa na Balozi wa Tanzania UAE Luteni Jenerali Mstaafu,Yacub Mohamed na watumishi wa ubalozi huo.