
Mke, wenzake wawili kunyongwa kwa mauaji ya mume
Morogoro. Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro imewahukumu kunyongwa hadi kufa watu watatu, akiwemo dereva wa bodaboda baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la mauaji. Waliohukumiwa adhabu hiyo wametiwa hatiani kwa mauaji ya Christian Tungaraza, aliyekuwa mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Siginali, kwa kumkata na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili akiwa nyumbani…