
AMREF TANZANIA YAPOKEA MILIONI 100 KUTOKA NBC DODOMA MARATHON 2025 KUBORESHA HUDUMA KWA WATOTO WENYE USONJI
Mkurugenzi Mkazi wa Amref Tanzania, Dr. Florence Temu akiambatana na viongozi mbalimbali wakati wa NBC Dodoma Marathon 2025, 27/07/2025, Dodoma.Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Amref Tanzania wakati wa mbio za NBC Dodoma Marathon 2025, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma 27/07/2025.Mkurugenzi wa Miradi Amref Tanzania, Dkt. Aisa Muya (Wa pili kushoto) akiambatana na…