
Miezi mitano ya mapinduzi ya utalii Tanzania
Dar es Salaam. Idadi ya watalii walioingia nchini kwa miezi mitano ya mwanzo kwa mwaka 2025 ilifikia 794,102 kiwango ambacho kimevunja rekodi kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, takwimu za Idara ya Uhamiaji zinaonyesha. Ikilinganishwa na 2024, ongezeko la watalii wanaoingia nchini lilikua kwa asilimia nne sawa na wastani wa watalii 28,000. Licha kuwa mwaka…