
Aliyekuwa Mwenyekiti Wa Halmashauri ya Missenyi Ateuliwa kugombea Ubunge
Na Diana Byera,Missenyi Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Projestus Tegamaisho ameteuliwa na kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Jimbo la Missenyi kwa tiketi ya chama hicho akiwa na wenzake Saba wanaowania kiti hicho . Tegamaisho ambaye amekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri kwa miaka 10 anasema amepata uzoefu wa Kila…