Dar es Salaam. Baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika jana Jumatatu Julai 28, 2025, makao makuu ya chama hicho jijini Dodoma, hatimaye majima ya waliopenya yamewekwa hadharani.
>>Haya hapa majina waliopenya ubunge
Katika orodha hiyo yapo majina yaliyoachwa na wamo walioingia wapya na ambao walikuwa nje wakarudishwa.
>> Haya hapa majina waliopenya ubunge Viti Maalumu