MKEKA WA UTEUZI WA AWALI WA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) WATAKAOSHIRIKI KATIKA ZOEZI LA KURA ZA MAONI KWA NAFASI ZA UBUNGE NA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla akizungumza na wandishi wa habari mapema leo katika ukumbi wa CCM, Dodoma. wakati akitangaza uteuzi wa majina
ya wanachama wa CCM watakaopigiwa kura za maoni kwa
mujibu wa Kanuni na Kalenda za Chama Cha Mapinduzi.
UBUNGE
NA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI 

 

VITI
MAALUMU WANAWAKE