
Waliokuwa wabunge viti maalumu Manyara watetea nafasi zao
Babati. Waliokuwa wabunge wa viti maalumu Mkoa wa Manyara, kwa kipindi kilichopita Regina Ndege na Yustina Rahhi wamefanikiwa kutetea nafasi zao kwa kuibuka kidedea kwenye kura za maoni. Katika uchaguzi huo uliofanyika mjini Babati leo jumatano Julai 30, 2025, Regina na Rahhi wamewashinda wagombea wenzao sita, kupitia kura 1,138 za wajumbe. Msimamizi wa uchaguzi huo,…