Dar es Salaam. Mchakato wa uteuzi wa wagombea nafasi ya udiwani Mkoa wa Dar es Salaam umekamilika na sasa wateule hao wanaingia katika hatua ya kupigiwa kura za maoni.
Hata hivyo, kabla ya kupigiwa kura, watapita kujitambulisha kwa wajumbe na kisha kupigiwa kura za maoni kuanzia kesho.
>>Orodha kamili gusa hapa