MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU MAALUM UVCCM YAMEKAMILIKA

:::::::::::

Pichani ni Viongozi wa sekretariet ya Umoja wa Vijana CCM Wakikabidhi vifaa mbali mbali wezeshi Kwa ajili ushiriki wa mkutano mkuu wa maalum wa UVCCM 

Mkutano mkuu maalum wa Uvccm unatarajiwa kufanyika mnamo tarehe 1/08/2025 katika Ukumbi wa Jiji,Mtumba Jijini Dodoma