RAIS SAMIA AZINDUA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KWA KUTUMIA USAFIRI SGR KUTOKA DAR ES SALAAM HADI DODOMA, KWALA MKOANI PWANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi Kongani ya Viwanda ya Kwala (Kwala Industrial Park) iliyopo Kwala,Kibaha vijijini mkoani Pwani tarehe 31 Julai, 2025. Lengo kuu la Kongani ya viwanda ni kujenga viwanda 2000 na kwasasa kuna viwanda 12 katika eneo lenye ekari 2500.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala (Kwala Dry Port) iliyopo Kwala, Kibaha vijijini mkoani Pwani tarehe 31 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala (Kwala Dry Port) iliyopo Kwala Kibaha vijijini mkoani Pwani tarehe 31 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika eneo la Kwala Marshalling Yard mkoani Pwani kwa ajili ya kuzindua usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma tarehe 31 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzungumza na wananchi wa Kwala kwenye mkutano wa hadhara mara baada ya kuzindua Bandari kavu ya Kwala, Kibaha vijijini mkoani Pwani tarehe 31 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipunga bendera (flag off) kuashiria uzinduzi rasmi wa usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kwenye hafla fupi iliyofanyika katika eneo la Marshalling Yard, KwalaMkoani Pwani tarehe 31 Julai, 2025.
Viongozi pamoja na wananchi wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika eneo la Kwala Kibaha vijijini mkoani Pwani tarehe 31 Julai, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Uchukuzi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Jean-Pierre Bemba pamoja na Waziri wa Miundombinu wa Burundi Mhe. Dieudonne Dukundane mara baada ya kuzindua Bandari kavu ya Kwala (Kwala Dry Port) iliyopo Kwala Kibaha vijijini mkoani Pwani tarehe 31 Julai, 2025.