
Zabibu ya Makutupora Nyekundu Yatajwa kwa Upekee Duniani
WATAFITI wa Kilimo kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) wameitaja Mbegu ya Zabibu ijulikanayo kama Makutupora nyekundu (Makutupora Red) kuwa ni Mbegu ambayo imethibitika kuwa na sifa za kipekee Duniani. Hayo yamesemwa Leo Julai 30, 2025 na Mtafiti Mwandamizi kutoka kituo cha TARI Makutupora Bi. Felista Mpore wakati akizungumza katika Moja ya kituo cha…