
Mashujaa kunoa makali Arachuga | Mwanaspoti
WAKATI timu zikisaka maeneo ya kwenda kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao, kikosi cha Mashujaa mapema imeshajua ni wapi itakwenda kuweka kambi yake. Akizungumza na Mwanaspoti alisema mmoja wa viongozi wa klabu hiyo alisema, zipo sababu kama mbili ambazo zimewafanya waichague Arusha kama sehemu ya maandalizi yao. “Tumekubaliana kwenda Arusha kwa ajili ya kambi…