Anusurika kifo baada ya kushambuliwa na wasiojulikana

Tabora. Mkazi wa Kijiji cha Shitage, Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, Zainabu Ndeko (65) amelazwa katika Hospitali ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana. Ndeko amejeruhiwa katika maeneo mbalimbali ya mwili wake, kufuatia shambulio hilo linalodaiwa kufanywa kwa kutumia silaha yenye ncha kali. Taarifa zaidi kuhusu tukio hilo zinaendelea kufuatiliwa,…

Read More

Ripoti Kuu ya UN inaendelea katika mazungumzo ya Kupro, inahimiza utekelezaji wa haraka wa hatua za uaminifu – maswala ya ulimwengu

Bwana Guterres alikuwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumkaribisha kiongozi wa Ugiriki wa Ugiriki Nikos Christodoulides na kiongozi wa Uturuki wa Uturuki Ersin Tatar katika makao makuu ya UN huko New York. “Mazungumzo ya leo yalikuwa ya kujenga. Viongozi wote walikagua maendeleo juu ya mipango sita waliyokubali mnamo Machi ili kujenga uaminifu, “yeye…

Read More

MARA YAWEKA HISTORIA SEKTA YA MADINI

:::::::::: Na Ester Maile Dodoma  Katika sekta ya madini, Mkoa wa Mara ni kati ya mikoa yenye utajiri mkubwa wa madini ikiwemo dhahabu, fedha, shaba, chuma, madini ya ujenzi, madini ya viwandani na madini ya vito. Madini ya dhahabu ndio yanayochimbwa kwa kiwango kikubwa ukilinganisha na madini mengine.  Hayo yamebainishwa leo 18 julai 2025 jijini…

Read More

Kapteni Traore aivunja Tume Huru ya Uchaguzi Burkina Faso

Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imeivunja rasmi Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (CENI), ikieleza kuwa chombo hicho kimekuwa kikisababisha matumizi mabaya ya fedha za umma na kuruhusu ushawishi wa kigeni katika masuala ya ndani ya nchi hiyo. Uamuzi huo umetangazwa kupitia televisheni ya taifa (RTB), ambapo ilielezwa kuwa majukumu ya tume hiyo yatahamishiwa…

Read More

Si kila kitokacho sikioni ni ugonjwa

Baadhi ya watu hustuka wanapoingiza kijiti chenye kichungi cha pamba, unyoya au nyasi sikuoni na kutoa ute mgando wenye rangi ya kahawia, wakidhani masiko yao ni machafu sana. Ukweli ni kwamba ute huo ni nta ya sikio, si uchafu bali ni kitu kinacholainisha, kusafisha na kulinda eneo la mfereji wa sikio.Nta hiyo ya sikio huwa…

Read More